Umuhimu wa kuyatambua majina ya Allah na sifa zake


UNadhihirika umuhimu WA kuyatambua majiNa ya Allah Na sifa zake Na utukufu Wake Na cheo chake katika mambo yafuatayo:

KWanza: Elimu bora zaidi Niile ilio Na uhusiano Na Allah Na majiNa yake mazuri Na sifa zake za juu, Na kadri ya ufahamu WA mWaNadamu.

MajiNa ya Allah Na sifa zake iNakuWa hadhi yake Na fungu lake la kuWa mja Wa Mola Wake Na kupata utulivu Wa moyo Wake Na mapenzi Na utukufu, ambayo itakuWa Ni sababu ya kutafuta kufaulu kWa radhi za Mola Wake, Na pepo yake Na kuneemeka kWa kumuangalia Allah Mwenye cheo Na ukarimu Wa nyumba ya akhera, Na lengo hili halitimii ispokuWa kWa tawfik ya Allah Mwenye nguvu Na utukufu.
Pili: Kuyatambua majiNa ya Allah Na sifa zake ndio msingi mkuu WA elimu zote, Na Ni msingi WA imaNi. Na Waajib WA mWanzo, Watu Watakapo mfahamu Mola Wao WatamWabudu ibada ya kikwelikweli, amesema Allah Mtukufu: {Jua ya kWamba hakuNa aabudiWaye Kwa haki ILA mwenyezi mungu} (Muhammad: 19)
Tatu: Katika kumjua Allah Mtukufu Kwa majiNa yake Na sifa zake kuNa kuongezeka Kwa imaNi Na yakiNi Na kuhakikisha tawheed, Na kuonja utamu Wa ibada, Na hii ndio roho ya imaNi Na msingi Wake Na lengo lake kuu.
Ubora WA elimu uNalingaNa Na ubora WA chenye kusomWa, Na hakuNa elimu bora zaidi ya kumtambua Allah Na kuyatambua majiNa yake Na sifa zake.
Na njia fupi ya kuyafikia haya Ni kutafakari Na kuzingatia sifa zake Allah Na majiNa yake yalioko kwenye Quran. KWa sababu Allah Mtukufu Wa majiNa akitaka kumkirimu mja Wake kWa kumjua yeye huukusanya moyo Wake kWa kumpenda yeye, ataukunjua moyo Wake kukubali sifa zake za juu, Nakuzichukua kutoka kWa Wahyi,
KukipatikaNa chochote miongoNi mWa majiNa Na sifa zake Allah aNazikubali Na kuziridhia Na kusalimu amri Na kunyenyekea Na kufuata Na moyo Wake ukaWa Na nuru.
Na kikakunjuka kifua chake Na kikajaa furaha Na mapenzi, Na kikazidi furaha yake, Na kubWa ya hilo huongezeka kukiNai kWa moyo kWa kukiNaishWa Na Allah,, Na kuWa Na nguvu za kumtambua , Na kutumai Nafsi yake Na kutulia moyo Wake, ukazunguka kwenye viWanja vya maarifa, Na yakaWa juu macho yenyekuoNa ndaNi ya mabustaNi yake, kWayakiNi yake kuWa ubora Wa elimu uNalingaNa Na ubora Wa chenye kusomWa, Na hakuNa chakusomWa kilicho bora zaidi ya ambaye sifa zake Ni hizi: mwenye majiNa mazuri mazuri Na sifa za juu Na ubora Wake uNaolinga Na kumuhitajia. Na roho hakuNa kitu ziNahitajia zaidi kuliko kumjua Muumba Wake Na kumpenda Na kumtaja Na kumkumbuka, Nakufurahia kWa ajili yake, Na kutaka Wasila kWake Na kutaka kufikishWa karibu kWake hakuNa njia nyengine ya hayo ila kWa kumjua yeye Allah Na kujua sifa zake Na majiNa yake .Na kila mja akiyafahamu haya zaidi uNakuWa ufahamu Wake Wa Allah Ni zaidi, Na peke yake ndiye aNaye muomba Na kWake pekee ndiko aNakuWa karibu, Na kila akiWa Na hazijui sifa zake Allah aNakuWa mjinga hamtambui Mola Wake Na huWa aNamchukia Na huWa mbali Naye Allah aNamweka mja Wake sehemu mja atakapo mweka Mola Wake.
Nne : ANaye mjua Allah kWa uhakika aNajielekeza kWa alizozijua miongoNi mWa sifa Na majiNa yake Allah , ili kujua aNachokifanya Allah Na aNacho hukumu katika sharia, kWasababu yeye Allah hafanyi chochote ila kitu kiNacho ambataNa Na majiNa yake Na sifa zake, Na majiNa yake Allah hayatoki ndaNi ya uadilifu Na ubora Na hekima. Na haukumu ila kulingaNa Na sifa zake Na hikima yake Na uadilifu Wake Na ubora Wake, habari zake zote Ni haki Na ukweli, Na maamrisho yake Na makatazo yake yote Ni uadilifu mtupu Na hikma Na rehema , Na elimu hii Ni tukufu saNa Na yenye kujulikaNa zaidi ya maelezo.
Kumtambua Allah Na majiNa yake Na sifa zake ndio wema WA moyo Na ukamilifu WA imaNi.
Tano : Ulazima Wa kiNa baiNa ya sifa za Allah Mtukufu Na viNavyo ambataNa Navyo miongoNi mWa ibada za dhahiri Na zakisiri, kWasababu kila sifa iNajinsi yake maalumu yakuitekelezea ibada, kWasababu kila sifa iNa matakWa yake Na ulazima Wake, Na hii iko kwenye kila aiNa ya ibada, za moyo Na za viungo au kujua mWadamu kuWa Allah pekee ndiye Mwenye kudhuru Na kunufaisha ndie Mwenye kutoa Na kunyima Na kuumba Na kuruzuku Na kuleta uhai Na kufisha, haya yote yaNazalisha kWa moyo Wa muumin ibada ya kutegemea kWake Allah kWa siri Na dhahiri.
Na vilazimiaNa vya kumtegemea Allah Na matunda yake yako Wazi, elimu yake Allah Na kusikia kWake Na kuoNa kWake hakufichiki kWake chochote hata kama kidogo kama dhara, kWamba Allah aNajua yaliyo jificha kama vile pia aNaoNa udanganyifu Wa macho Na yaliyo fichWa Na vifua, kujua kWake huku kuNamfanya ahifadhi ulimi Wake Na viungo vyake Na fikra zake pia Na yote yasiyo mridhisha Allah, Na kuvifanya hivi viungo viNa uhusiano mzuri Na kila kiNacho mridhisha Allah Na kuvipenda,ndio imaNi hii izae haya la ndaNi Na haya la kukuepusha Na mambo ya haramu Na vitu vibaya, Na kutambua kWake kuWa Allah Ni mpWasi Na yupo Na ukarimu Na wema Na huruma yake iNamkuza kuWa mwenye kutarajia kWa Allah, Na kutambua utukufu Wake Allah Na ukubWa Wake Na nguvu zake iNamfanya kuWa mwenye kunyenyekea Na kudhalilika Na kupenda, hali hizi zisizo onekaNa hizi Ni aiNa za ibada zilizo dhahiri Na ndivyo vitu vyaulazima ,ibada zote misingi yake Ni mikubWa Ni matakWa ya tawheed
Sita: Kumuabudu Allah kupitia majiNa yake Na sifa zake, kuNa athari nzuri katika kusalimika nyoyo, Na kusalimika tabia Na mwenendo, Kama vile kuzivunja Na kuzikanusha Nikufungua mlango WA magonjWa ya nyoyo.

Comments

Popular Posts