#nguzo_za_swala
Sunna za Swalah
Na kila kisichokuwa ni miongoni mwa masharti ya Swala, nguzo zake na mambo yake ya wajibu katika vile vilivyotajwa juu ya Namna ya Kuswali, basi hicho ni sunna ambao kuiacha hakuathiri katika usahihi wa Swala wala hailazimu kwa kuacha kusujudu sijida sahau.👇👇
https://www.al-feqh.com/sw/nguzo-za-swala
Comments
Post a Comment